Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Abiria wa mabasi sita ya Abood wamebaki njia panda baada ya magari waliokuwa wakisafiria kuzuiliwa kwenye mizani ya ya kibaha baada ya kuzidisha uzito. Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi hapa
Pata habari za usafiri wa anga, mazingira, maliasili na utalii
0 comments:
Chapisha Maoni